Back to Hefsiba's Page
Hefsiba Nzali
Hefsiba Nzali

6 Weeks to Become Fit, Stay Fit & Feel Feminine — Home-Based Challenge for Women.

with Hefsiba Nzali

Solin Guarantee

This challenge is 100% Money Back Guaranteed. If you are unsatisfied at any time within 30 days of purchase, Solin will refund your money.

Your Access Includes

  • Build lasting strength and feminine curves with a balanced 6-week home challenge focused on smart nutrition, consistent workouts, and self-love—not quick fixes.
  • Access weekly workouts, feminine nutrition tips tuned to your body’s rhythm, mindset support, and easy app tracking all from home—no gym required.
  • Challenge starts Nov 17, 2025 - One-time purchase for lifetime access!

From Hefsiba

Transformations

user tranformation testimonial
Hefsiba

"Nilianza kama wewe , nikiwa na ndoto, lakini pia nikijisikia kuchoka, kukosa motisha na kujiuliza kama kweli nitaweza kubadilika. Lakini leo, ushuhuda wangu ni ushahidi kwamba mwili wako unaweza kubadilika, kama moyo wako utajitolea kwa nidhamu sahihi. Let’s gooo QUEEN . Haya siyo tu mabadiliko ya mwili, ni ushahidi wa nidhamu, self-love na kuamua kuishi maisha bora. Kama mimi nimeweza — na wewe unaweza. Mwaka huu haujaisha bado, bado una nafasi ya kuwa toleo jipya na bora la wewe. muda ndio sasa. usisubiri new year new me."

user tranformation testimonial
Goodie 💅

"My Girl G, she’s super dedicated on her journey and im Proud of Her progress ❤️🥳"

user tranformation testimonial
Fit feminine women Community

"I’m very proud of my Girls kwenye community yetu ya “Level up your body” "

Learn More

Solin Guarantee

This challenge is 100% Money Back Guaranteed. If you are unsatisfied at any time within 30 days of purchase, Solin will refund your money.

Challenge Highlights

challenge highlights from creator

From Hefsiba

Hefsiba

Become Fit & stay Fit.

Naelewa sana kwamba Program nyingi za mazoezi ya kupungua au ku-shape mwili zinakuahidi kupata matokeo ya haraka ambapo unabaki umechoka haswa, hasira za kupoteza muda na pesa, na baada ya muda mfupi unarudi kama ulivyokuwa mwanzoni au zaidi ya ulivyokuwa.

“Become fit & stay fit” ni program iliyotengenezwa mahususi kwa Mwanamke anayehitaji zaidi ya kupungua/kuongezeka tu , anahitaji ku-shape mwili wake vizuri , kujisikia natural soft na mwili wenye Nguvu na zaidi sana kutengeneza lifestyle yenye afya bila kuacha kula anachokipenda.

Hii haihusiani na wewe kushinda njaa au kula mlo mmoja kwa siku au kujichosha na mazoezi magumu ambayo yanasababisha unakosa motivation. Hii inahusiana na kujifunza jinsi ya kuwa Fit bila kusahau jinsi ya kuendelea kuwa fit huku unajisikia Feminine, soft na Mwenye ujasiri na mwili wako na in your own skin.

Kila week tutakuwa na mazoezi rahisi ya nyumbani lakini yenye matokeo makubwa, high protein nutrition guide ya kusaidia mwili wako ujitengeneze na kuwa na afya, na motivation kutoka kwa wanawake wenzako ili kukusaidia usichoke njiani.

Unachohitaji ni mwili wako tu na utayari.

High protein Nutrition Utapewa kulingana na malengo yako na haimaanishi utashinda njaa au kuacha baadhi ya vyakula vyako pendwa, Hapana. Hii ni kwa ajili ya kutengeneza Milo sahihi kwa ajili ya kujenga aina ya mwili unaoutaka ambapo itakusaidia kujisikia vizuri, Mwenye afya na powerful na Glowing skin pia.

Na pale utakapojisikia kuchoka au kukata tamaa , community ya wanawake wenzako ipo hapa kukutia moyo na kuku-kumbusha kwamba Unafanya hii kwasababu ya self-love. Kwasababu hii safari ni rahisi sana kama utakuwa pamoja na wengine na kufanya kwa pamoja na tutajipongeza kwa kila hatua.

Hii challenge ni kwa wanawake ambao wamechoka kupoteza muda na energy zao kujaribu vitu mbalimbali bila matokeo sahihi , unapungua kama zima moto baada ya muda unarudi kama ulivyokuwa au uzito unapungua ila mwili upo vile vile.

Kama upo tayari kujenga strength,Mwili wenye shape uipendayo na kujifunza jinsi ya kuendelea kuwa na huo mwili na mindset sahihi - basi nipo hapa kukuongoza kwenye hii safari yako.

Tufanye hizi week6 kuwa ni za mabadiliko makubwa ya ndani nje ambayo yatabaki kuendelea kuwepo bila kujipoteza wewe na feminine energy yako.

Upo tayari kuchukua hatua ya kwanza? Mwili wako utakushukuru.

Utapata nini Ndani ya Challenge:

✅ Mpangilio kamili wa mazoezi ya nyumbani kwa wiki 6 (video + maelezo)

✅ Focus ya sculpting – tumbo, makalio, kiuno, mikono na miguu

✅ Mpangilio wa high protein lishe (nutrition guide) kwa afya, ngozi & mwili laini

✅ Daily motivation & accountability kwa group letu maalum

✅ Coaching tips za Hefsiba kuhusu jinsi ya kubaki fit muda wote

✅ Mindset & feminine energy exercises kukusaidia kujiamini zaidi

Vifaa vya Kihitaji:

  • Resistance bands(fupi na ndefu)

  • Dumbbells au barbell (kama unazo)

  • Yoga mat

  • Kiti au sofa (kwa mazoezi ya booty )

  • Towel & maji

  • Kioo chako (kwa mirror check-ins zako )

Challenge start date: 11/17/2025

Challenge end date: 12/14/2025

Open to participants worldwide

Kutoka kwa Hefsiba:

Hii challenge ni sehemu ya maisha yangu, kwa sababu nimepitia hii safari mwenyewe na naendelea nayo.

Nilijifunza kuwa siyo lazima ujichoshe au uanze upya mara mia mia, unaweza kuwa fit na ukaendelea kuwa hivyo.

Ndiyo maana nimeunda challenge hii: kukuonyesha kuwa unaweza Become Fit & Stay Fit, kwa nidhamu sahihi, mwili soft, na matokeo ya uhakika.

Kabla mwaka haujaisha, utajiangalia kwenye kioo na kusema, ‘Mimi nimeweza.’

usisubiri mpaka new year new me.

unaweza kuanza sasa.

Transformations

program transformation testimonial image from Hefsiba
quote

Nilianza kama wewe , nikiwa na ndoto, lakini pia nikijisikia kuchoka, kukosa motisha na kujiuliza kama kweli nitaweza kubadilika. Lakini leo, ushuhuda wangu ni ushahidi kwamba mwili wako unaweza kubadilika, kama moyo wako utajitolea kwa nidhamu sahihi. Let’s gooo QUEEN . Haya siyo tu mabadiliko ya mwili, ni ushahidi wa nidhamu, self-love na kuamua kuishi maisha bora. Kama mimi nimeweza — na wewe unaweza. Mwaka huu haujaisha bado, bado una nafasi ya kuwa toleo jipya na bora la wewe. muda ndio sasa. usisubiri new year new me.

Hefsiba
program transformation testimonial image from Goodie 💅
quote

My Girl G, she’s super dedicated on her journey and im Proud of Her progress ❤️🥳

Goodie 💅
program transformation testimonial image from Fit feminine women Community
quote

I’m very proud of my Girls kwenye community yetu ya “Level up your body”

Fit feminine women Community
Hefsiba Nzali

Learn More

Join my exclusive community and get access to all of my latest courses, content, & sessions. Take part in community chats and meet friends in this wonderful community. We'll bring you great content and more!

Are you a creator?

Solin app promotions tab